Karibu katika mtandao wa shirika la msaada wa maendeleo ya michezo (Sports Development Aid). SDA ni shirika lisilo la serikali linalojishughulisha na michezo na maendeleo mkoani mtwara kusini mashariki ya Tanzania.
Mtandao huu unakupatia taharifa zinazohusu shughuli za shirika. Tafadhali tumia menu kufahamu zaidi kuhusu shirika na shughuli zake. |
 |
 |
 |
Welcome to Sports Development Aid website. SDA is a Tanzanian non-governmental organization working on sports and development in Mtwara Region in South Eastern Tanzania. SDA also has a branch in Singida and cooperates with Butimba Teachers’ College in Mwanza.
This website gives you information about the work of SDA. Please use the menu to find out more about us and our activities.
|